893 sqm | TSh 150,000,000
Mkonze, Dodoma.
Property ID: 2459.
Eneo lipo kilometa 2 kutoka Stesheni ya SGR na mita 160 kutoka barabara kuu (Iringa Road). Kiwanja kina nyumba moja, Boma kubwa la vyumba vinne na pagale moja. Maji na umeme vipo. Maongezi yapo.
Read MoreLoading Map...