4,950 sqm | TSh 2,200,000,000
Tambukareli, Dodoma.
Property ID: 1282.
Kiwanja hiki kipo eneo zuri kwa uwekezaji wa hoteli likiwa na ukubwa wa zaid ya ekari moja na lipo barabara kuu mkabalana reli ya mwendo kasi (sgr) pamoja na mahakama kuu tanzania. Kiwanja kina Hati miliki kutoka wizara ya Ardhi.
Read MoreLoading Map...